🚗 E-Driving Tanzania

Jifunze Udereva Kwa Rahisi Na Kwa Gharama Nafuu

Download App Yetu

Chagua njia moja ya kudownload app yetu. Kila njia ni rahisi na inafanya kazi vizuri!

Taarifa za Faili:
Jina: E-driving_Tanzania.apk | Ukubwa: 76.82 MB

Njia 1: Download Moja Kwa Moja

Bofya kitufe hapa chini kudownload APK file moja kwa moja kwenye simu yako. Njia rahisi zaidi na inafanya kazi haraka!

Download APK Sasa
Maelekezo: Bofya kitufe → Subiri download → Fungua faili

Njia 2: Piga QR Code

Piga QR code hapa chini kwa kamera ya simu yako. Link itafunguka moja kwa moja!

Inaundwa...
Maelekezo: Fungua kamera → Piga QR code → Bofya link

Njia 3: Kopi Link

Kopi link hapa chini na uipaste kwenye browser yako. Njia nzuri kama njia zingine hazifanyi kazi.

Maelekezo: Bofya "Kopi" → Fungua browser → Paste link → Download
Jinsi ya Kufunga App Baada ya Download:
1
Fungua faili iliyodownload kwenye simu yako
2
Ruhusu "Install from Unknown Sources" kwenye settings za simu yako (kwa Android)
3
Bofya "Install" na subiri ufungaji ukomae
4
Fungua app na uanze kujifunza!
Masomo kamili ya nadharia
Inafanya kazi kwenye Android
Salama na ya kuaminika